- 2,692 viewsDuration: 3:04Mabilioni ya pesa yaliyowekezwa kwenye mfumo mpya wa usimamizi wa huduma za afya, sasa yako hatarini huku utata mpya ukizonga bima ya matibabu ya SHA. Wizara ya afya inasema kuwa imekataa kulipa madai ya shilingi bilioni10.6 zinazodaiwa na vituo vya afya