- 57,331 viewsDuration: 28:10Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema kwamba uchaguzi wa Tanzania haukukidhi kanuni na mifumo ya Umoja wa Afrika na kimataifa kuhusu uchaguzi wa kidemokrasia. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw