26 Aug 2025 10:44 am | Citizen TV 4,473 views Duration: 59s Katibu katika wizara ya kilimo na ustawi wa mifungo Jonathan Mueke anaongoza ujumbe wa kukagua uwanja wa Ithookwe ambako sherehe za kitaifa za mashujaa zitafanyika mwaka huu