- 1,965 viewsDuration: 2:13Mjane mwenye umri wa miaka 76, Margaret Anyango Oriema, kutoka kijiji CHA Gangu, Rarieda, amepokea nyumba mpya pamoja na samani na vifaa vya malazi, msaada uliotolewa na taasisi ya katibu wa wizara ya usalama Dkt. Raymond Omollo