- 51 viewsDesemba mwaka 2022 Umoja wa Mataifa ulikadiria magenge yalidhibitiwa kwa asilimia 60 kutoka mji mkuu wa Haiti. Hivi sasa mitaa mingi ya Port au Prince, UN inasema idadi ya magenge hayo yanakadiriwa kuwa asilimia 100. Ungana na mwandishi wetu akikuletea muhtasari wa yale yaliyotokea baada ya Rais wa Haiti kuuawa na baadae nchi kuingia katika ghasia. Endelea kusikiliza namna wananchi wanavyoeleza wasiwasi na hofu iliyoligubika taifa hilo.. #un #umojawamataifa #portauprince #magenge #silaha #mauaji #rais #wazirimkuu #voa #voaswahili #usalama #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Haiti: UN yakadiria magenge yameongezeka kwa asilimia 100
- 2 May 2024 - The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) on Thursday made a decision to charge Jecinter Adoyo Hezron, a senior analyst and personal assistant to the chairperson of Commission on Revenue Allocation (CRA) with forging academic documents.
- 2 May 2024 - President William Ruto, the Commander-in-Chief of the Defence Forces, has promoted Lieutenant General Charles Muriu Kahariri to the rank of General and appointed him the new Chief of the Defence Forces (CDF).
- 2 May 2024 - President William Ruto might be addressing a joint session of the United States Congress on May 23, 2024, if approved by the Speaker of the House.
- 2 May 2024 - The number of Kenyans who have died from the ongoing nationwide floods rose to 188 as of Thursday morning as the nation continues to battle with torrential rains.
- 2 May 2024 - More than half of Kenyans consider Agriculture Cabinet Secretary Mithika Linturi most responsible for the dubious subsidised fertiliser under probe, a new survey shows.
- 2 May 2024 - Survivors of the Maai Mahiu flash floods say they had been warned over the looming danger posed by the Old Kijabe seasonal dam hours before the tragedy struck.
- 2 May 2024 - A police officer died in Matungulu, Machakos County after his car was swept away by floods in River Kware on Wednesday afternoon.
- 2 May 2024 - Over 149 MPs vote in favour of a motion seeking to impeach the troubled CS.
- 2 May 2024 - Speaker Moses Wetangula was forced to momentarily halt the proceedings.
- 2 May 2024 - Almost all doctors and clinical officers in the county have resumed work to respond to the disaster.