Wakazi wa Thindigua wanahofia mlipuko wa kipindupindu

  • | K24 Video
    237 views

    Wakazi wa Thindigua kaunti ya Kiambu wanahofia mlipuko wa ugonjwa hatari wa kipindupindu kutokana na kile wanachosema ni kutapakaa kwa maji taka yanayoelekea ndani ya chemichemi za maji yanayotumiwa na mamia ya wakazi wa sehemu hiyo. Tetesi zao zimejiri huku wenzao katika vijiji vya Thathi-ini na Kirigiti nao wakitishia kushiriki maandamano wakisuta serikali ya kiambu kwa kuwatelekeza.