29 Aug 2025 10:23 am | Citizen TV 384 views Duration: 3:34 Muungano wa matabibu wa magonjwa mbalimbali nchini unaitaka serikali kuajiri matabibu zaidi ili kutatua uhaba wa wataalamu hao wakisema umeathiri utoaji huduma za afya ya msingi kote nchini