'Sisi ni Zama Zama' Upekuzi wa BBCAfrica Eye

  • | BBC Swahili
    1,404 views
    🇿🇦 ⛏️ "Palipo na dhahabu...siku zote damu ipo, kwa sababu ni pesa." Kila siku wanatoka kwenda kazini, hawajui kama watarudi nyumbani wakiwa hai. Hao ni Zama Zama - watu wanaohatarisha maisha yao kwenda chini ya ardhi katika migodi hatari ya dhahabu ambayo ilitelekezwa nchini Afrika Kusini ili kujikwamua. #bbcafricaeye #ZamaZama #Madini #dhahabu