Shamra shamra, mbwembwe, mikogo na madoido ya Madaraka Day

  • | NTV Video
    3,849 views

    Mbwembwe mikogo na madoido ya aina yake zimeshuhudiwa kwenye sherehe za mwisho za madaraka chini ya uongozi wa Rais Uhuru Kenyatta huku Maelfu ya Wakenya kutoka kada mbalimbali wakijitokeza katika uwanja wa Uhuru Gardens kwenye barabara ya Langata kushiriki hafla hizo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya