Ifahamu China: Watibet wakaribisha mwaka mpya kwa furaha

  • | KBC Video
    22 views

    LOSAR: MWAKA MPYA WA KITIBET Watibet wakaribisha mwaka mpya wa kikabila kwa furaha na matumaini

    Mwaka Mpya wa Kitibet ama Losar, umewadia na kuleta furaha kubwa kwa watu wa kabila dogo la Kitibet na wageni kwa furaha kamili ya mwaka mpya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News #IfahamuChina #TheGreatKBC