Michakato ya kuitambua miili ya waathiriwa waliofariki katika ajali barabarani yakamilika

  • | K24 Video
    184 views

    Michakato ya kuitambua miili ya waathiriwa waliofariki katika ajali barabarani siku ya alhamisi, iliyohusisha basi la chuo kikuu cha Pwani na matatu umekamilika. Haya yanajiri huku baadhi ya majeruhi wakiendelea kupokea matibabu maalum katika hospitali tofauti