5 Sep 2025 2:19 pm | Citizen TV 221 views Duration: 1:23 Serikali imepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya uwidaji haramu wa wanyama wa pori. Ujumbe huu umetolewa na mkurugenzi mkuu wa shirika la huduma kwa Wanyama Pori nchini KWS, Erustus Kanga.