5 Sep 2025 2:26 pm | Citizen TV 202 views Duration: 3:18 Wavuvi wa eneo Bunge la Lamu Mashariki katika kaunti ya Lamu Hutegemea vifaa vya uvuvi kama Nyavu za Mkano na Juya ili kuvua samaki. Hata hivyo, vifaa hivi vilipigwa marufuku kwa sababu vinaharibu mazingira ya bahari.