5 Sep 2025 2:50 pm | Citizen TV 595 views Duration: 1:50 Kijiji cha Chemongo katika eneo la Cheptulu Kinaomboleza kifo cha mwalimu na mwandishi wa vitabu wa kwanza kutoka kijiji hicho Crispus Iravonga Sultani.