- 1,100 viewsDuration: 2:47Kati ya shule 32,000 zilizosajiliwa nchini, ni shule elfu tatu tu zilizopata mgao wa fedha za serikali za kufadhili masomo kufikia sasa. Katibu wa elimu Profesa Julius Bitok amesema kuwa wizara ya elimu inakagua stakabadhi za zaidi ya shule elfu 32 ili kung'oa shule na wanafunzi hewa ambao wamekuwa wakipokea fedha hizo. Bitok hata hivyo anasema kuw ani matarajio ya serikali kuwa shughuli hiyo itakamilishwa haraka ili kuendelea na usambazaji wa pesa shuleni.