Skip to main content
Skip to main content

Kilio cha familia Naivasha kufuatia kifo cha binti yao aliyeaga dunia katika njia tatanishi

  • | Citizen TV
    1,534 views
    Duration: 2:37
    Familia moja inayoomboleza huko Naivasha inatafuta haki kufuatia kifo cha binti yao, aliyeaga dunia katika njia tatanishi. Miili ya Naomi Wangari na mpenzi wake ilipatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti cha City, wiki moja baada ya kutoweka kutoka kwao huko Mlolongo kaunti ya Machakos.