- 762 viewsDuration: 1:41Chama cha UDA hii leo kinatoa hati za uteuzi kwa wagombea viti vya wadi tofauti katika chaguzi ndogo zitakazoandaliwa Novemba 27. Wawaniaji hao ni wale waliopewa tiketi za moja kwa moja na chama kuwania nyadhifa hizo. Hafla hiyo ya kutoa hati za uteuzi inaendelea katika makao makuu ya chama cha UDA Nairobi.