Skip to main content
Skip to main content

Gharama ya kilimo Makueni

  • | Citizen TV
    352 views
    Duration: 3:08
    Kaunti ya Makueni ni mojawapo ya kaunti ambazo utoa matunda kwa wingi hususan maembe na machungwa,wakazi wa eneo hilo wakitegemea kilimo kukithi maisha yao. Hata hivyo ukulima wa matunda umendelea kuwa changamoto kubwa kwa wakulima hao kutokana na ukosefu wa maji na kuendelea kuchelewa kukamilika kwa bwawa la Thwake ambalo lingesaidia wakulima kupata maji ya kutumia shambani