- 166 viewsDuration: 1:53Sherehe za kitamaduni za jamii za Pwani, maarufu kama Chenda Chenda zinazofanyika kila mwaka tarehe 9 mwezi wa 9, zimeibua mgawanyiko miongoni mwa jamii za Mijikenda kutokana na maslahi ya kisiasa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya