Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya bima ya First Assurance yaandaa mchuano wa gofu katika uwanja wa klabu ya Nyali

  • | NTV Video
    128 views
    Duration: 1:01
    Kampuni ya bima ya First Assurance iliandaa mchuano wa gofu katika uwanja wa klabu ya Nyali kaunti ya Mombasa. Zaidi ya wachezaji 100 walishiriki mchuano huu uliotumika kuadhimisha miaka 95 ya huduma ya kampuni hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya