- 37 viewsTeknolojia ya Virtual Reality inajulikana kujikita zaidi kwenye michezo ya video lakini kampuni moja nchini Kenya inatumia teknolojia hii kufundisha watoto wa shule katika maeneo ya kipato cha chini. Katika darasa moja jijini Nairobi, wanafunzi wamekuwa wakitumia teknolojia ya Virtual reality kujifunza zaidi kuhusu uchafuzi wa plastiki. #VOASwahili #teknolojia #virtualreality #michezo #video #kenya #watoto #mashuleni Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Teknolojia ya virtual reality yaanza kufundishwa katika shule za msingi Kenya
- 6 Jul 2025 - Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
- 6 Jul 2025 - Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
- 6 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
- 6 Jul 2025 - The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
- 6 Jul 2025 - Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted
- 6 Jul 2025 - Joho leads Coast MPs in Ruto campaign
- 6 Jul 2025 - Mr President you risk bringing idolatry in church, State House
- 6 Jul 2025 - Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction
- 6 Jul 2025 - 35 years later, Saba Saba continues: Meeting of different generations, same script
- 6 Jul 2025 - Parliament's CDF coup: The Senate should halt this constitutional heist