Madaktari wa mifupa waitaka serikali kuondoa ushuru katika ununuzi wa vifaa vya matibabu

  • | Citizen TV
    142 views

    Madaktari wa mifupa wameitaka serikali kuondoa ushuru katika ununuzi wa vifaa vya matibabu ili kupunguza gharama ya matibabu nchini. Wakizungumza huko mombasa katika kongamano la siku tano madaktari hao wametaka serikali pamoja na hospitali za kibinafsi kuwekeza katika teknolojia ili kuboresha utoaji huduma.