9 Sep 2025 10:10 am | Citizen TV 2,158 views Duration: 1:36 Uongozi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Bomet hapo jana uliandamana kuhusu daraja ambalo limeoza linalounganisha vyumba wanakoishi na chuo hicho.