9 Sep 2025 10:15 am | Citizen TV 278 views Duration: 1:51 Chuo kikuu cha mafunzo ya ufundi cha Mombasa TUM kimezindua rasmi masomo ya udaktari kwa ushirkiano Na serikali ya kaunti Na ubalozi wa ubelgiji nchini. Chuo hicho ni cha kwanza pwani kutoa mafunzo ya udaktari