- 7,538 viewsDuration: 4:34Chama cha DCP katika kaunti ya Kajiado inapanga kutumia uchaguzi mdogo wa wadi ya Purko huko Kajiado ya Kati kupima umaruufu wake katika sehemu za mashinani. Kulingana na viongozi wa chama hicho wakiongozwa na seneta Samuel Seki na Mbunge WA Kajiado KaskaZini Onsesmus Ngogoyo tayari chama hicho kina mgombeaji mmoja ambaye ameidhinishwa na sasa watatumia fursa hiyo kujipima nguvu kuhusu makali ya DCP huko Kajiado.