- 197 viewsDuration: 2:43Zaidi ya kina mama na wazee 2000 kutoka eneo bunge la bahati kaunti ya nakuru walirembeshwa ambapo walitengezwa nywele na makucha mbali na kupokea matibabu ya bure. Aidha wito wa kuwasajili kwa bima ya afya ya sha pia ikitolewa katika hafla hiyo.