Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Kalokol walilia umeme licha ya ahadi ya Rais

  • | Citizen TV
    564 views
    Duration: 4:59
    Rais William Ruto anapoanza rasmi miaka mitatu akiwa madarakani akiongoza taifa hili, wakaazi wa Kalokol katika kaunti ya Turkana ambao wamekuwa wakikosa stima wamejitokeza kumkumbusha rais atimize ahadi yake ya kuwawekea umeme. Wakaazi wa Kalokol wanalaumu wanasiasa kwa kuchangia masaibu yao kwani wanakosa kutimiza ahadi za kampeni zao hali ambayo imewafanya kukosa stima tangu Kenya ijinyakulie uhuru.