Skip to main content
Skip to main content

Bei za bidhaa nyingi muhimu zilipanda mno mwaka wa 2022

  • | Citizen TV
    1,059 views
    Duration: 3:03
    Katika kipindi cha miaka mitatu ya utawala wa Kenya Kwanza, uchumi wa nchi umeonyesha matokeo mchanganyiko. Hali hii pia imeonekana katika gharama ya maisha, ambapo baadhi ya bidhaa za nyumbani zimepungua bei huku nyingine zikisalia juu. Jimmy Mbogoh sasa anatupatia tathmini ya bei ya bidhaa muhimu za chakula katika kipindi hiki.