9 Sep 2025 1:47 pm | Citizen TV 316 views Duration: 1:37 Familia zaidi ya 10,000 ziliokuwa zikiishi katika shamba la ekari elfu kumi maeneo ya Kimwani eneo bunge la Tindiret Kaunti ya Nandi zinaitaka serikali kuzirejeshea shamba hilo lilitwaliwa na serikali ya hayati Rais Moi.