9 Sep 2025 1:55 pm | Citizen TV 282 views Duration: 1:45 Sherehe za kitamaduni za jamii za Pwani, maarufu kama Chenda Chenda zinazofanyika kila kwaka tarehe 9 mwezi wa 9, zimeng’oa nanga rasmi leo.