9 Sep 2025 1:57 pm | Citizen TV 253 views Duration: 1:08 Shirikisho la taekwondo humu nchini limezindua tovuti kuelekea kwa mashindano ya dunia ya wachezaji wasiozidi umri miaka 21 ambayo yatafanyika Kenya kwa mara ya kwanza katika historia.