Mbunge wa Mbeere Kaskazini apendekeza mswada

  • | Citizen TV
    906 views

    Mbunge wa Mbeere Kaskazini Geoffrey Ruku anapendekeza mswada wa kudhibiti maandamano akitaka wanaoandaa maandamano kugharamimikia hasara inayotokana na maandamano hayo