10 Sep 2025 10:31 am | Citizen TV 137 views Duration: 1:25 Chama cha mawakala wa mizigo katika bandari kimetia saini mkataba wa maelewano na kampuni ya viaservice kutoka uswizi ili kupunguza ada ya kupakia na kupakua shenena bandarini