Baadhi ya huduma za mtandao wa e-citizen zatatizika

  • | Citizen TV
    4,156 views

    Wadukuzi wasiojulikana na waliojipa jina la anonymous sudan wamedukua tovuti inayotoa huduma kwa wakenya mitandaoni na kulemaza huduma muhimu nchini zikiwemo uhamiaji, benki mitandaoni na hata huduma za malipo kama zile za kampuni ya umeme Kenya Power.