James Ole Seur kuongoza idara ya michezo Narok

  • | Citizen TV
    106 views

    Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ameahidi kuinua riadha katika kaunti hiyo kwa kuwateua wanariadha wa zamani katika nafasi za uongozi katika wizara ya michezo