Kampuni ya maji mjini Homa Bay yachunguza wanaouganisha mambomba ya maji visivyo

  • | Citizen TV
    104 views

    Uhaba wa maji safi ya matumizi ni changamoto kubwa katika mji wa Homa-Bay. Kampuni ya kusambaza maji mjini humo HOMAWASCO inawalaumu baadhi ya watu wanaounganisha mabomba ya maji kinyume cha sheria.