Zaidi ya wanafunzi 300 wanufaika kwa mafunzo kuhusu vipaji katika kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    362 views

    Zaidi ya wanafunzi 300 kutoka shule mbali mbali humu nchini wamenufaika na mafunzo ya kuwasaidia kukuza vipaji. mafunzo hayo yaliandaliwa katika eneo la Kitengela kaunti ya Kajiado. Wadau wamewahimiza wazazi kutambua talanta za wanao na kuzikuza ili waweze kujiajiri badaye.