Mvutano wa ardhi umezua hali ya taharuki katika kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    219 views

    Mvutano kuhusu ardhi umezua hali ya taharuki katika kaunti ya trans nzoia huku wakazi, viongozi na watu wanaodai umiliki wa ardhi hiyo wakirushiana lawama.