Mafunzo kwa wakulima Busia

  • | Citizen TV
    122 views

    Wakulima katika kaunti ya Busia walioathirika wamepata mafunzo kuhusu mbinu bora za ufugaji wa kuku na mbuzi walioboreshwa, ili kuwakwamua kiuchumi.Wakulima pia wametakiwa kukumbatia ufugaji ili kujiepusha na hasara zinazoshuhudiwa katika kilimo.