Seneti kujadili hoja ya kubuni kamati ya maridhiano

  • | Citizen TV
    548 views

    Bunge la seneti linasubiriwa kupitisha hoja ya kuidhinisha kisheria kamati ya mazungumzo ili ianze shughuli zake rasmi. Wakizungumza baada ya mkutano wa tatu, wanachama wa kamati hiyo walisema vikosi vyao vya kuifundi bado havijakamilisha shughuli ya kuorodhesha masuala kumi yaliyoibuliwa. Shughuli hii ikitarajiwa kufanyika wiki hii kabla ya mkutano wa nne siku ya ijumaa.