KMPDU inataka afya kujumuishwa kwenye mazungumzo

  • | Citizen TV
    612 views

    Muungano wa madaktari sasa unataka mpango wa afya bora kwa wote kujumuishwa kwenye mazungumzo ya uwiano. Muungano huo unataka wizara ya afya kutatua suala la uhaba wa wahudumu wa afya kama ilivyoahidiwa na viongozi wa kenya kwanza kwenye manifesto yao. Muungano huo unasema kuajiriwa kwa wahudumu zaidi wa afya kutaimarisha utoaji huduma za matibabu.