Mtu mmoja akamatwa Narok kwa madai ya kuhusika na ulaghai wakati wa zoezi la kuwasajili makurutu

  • | Citizen TV
    992 views

    Polisi mjini Narok wanamzuia mtu mmoja kwa madai ya kuhusika na ulaghai wakati wa zoezi la kuwasajili makurutu wa polisi kaunti hiyo