Hatma ya waliotimuliwa ODM

  • | K24 Video
    48 views

    Afisi ya msajili wa vyama ndiyo itakayoamua hatima ya wabunge waliotimuliwa kutoka kwa chama cha ODM kwa kukiuka sera za chama. Wabunge hao hata hivyo wanashikilia kuwa hawana hatia huku wengine wakisema wako tayari kujiuzulu iwapo itafikia hapo.