Waziri Kindiki afanya mkutano na maafisa wakuu katika idara ya uhamiaji

  • | Citizen TV
    253 views

    Waziri wa usalama profesa kithure kindiki amefanya mkutano na maafisa wakuu wa idara ya uhamiaji katika jumba la nyayo hapa jijini nairobi.