KEMRI inataka marufuku ya dawa kutoka nje

  • | Citizen TV
    200 views

    Taasisi ya utafiti wa dawa nchini KEMRI sasa inataka serikali kupiga marufuku dawa zote kutoka mataifa ya kigeni ,na kuachia taasisi hiyo jukumu litakaloondolea taifa gharama. Wasimamizi wa tassisi hiyo wanashikilia kuwa kuzima kabisa uagizaji wa dawa kutoka mataifa ya nje kutapatia wataalamu wa humu nchini nafasi ya kutosheleza taifa. Aidha taasisi hiyo inasema sera mpya ya serikali ya kuhimiza kutiliwa mkazo kwa bidhaa za humu nchini, inafaa kutiliwa mkazo Zaidi na wakenya wote.