Watoto Turkana wameathirika na utapiamlo

  • | Citizen TV
    73 views

    kaunti ya Turkana ni mojawapo ya kaunti ambapo afya ya watoto imeathirika pakubwa kutokana na ugonjwa wa utapiamlo. serikali ya kaunti hiyo inasema imeweka mipango ya kuanza mipango ya kutoa lishe. na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,msimamizi wa hospitali ya rufaa Lodwar anakiri kuwa katika siku za hivi karibuni, kaunti hiyo imeshuhudia ongezeko la ugonjwa wa utapiamlo.