MV Logos Hope yaendelea kuwa gumzo Mombasa

  • | VOA Swahili
    192 views
    - - - - - #VOASwahili Maelfu ya watu Kenya wanaendelea kutembelea Meli ya MV Logos Hope ikiwa ni meli yenye maktaba kubwa zaidi ulimwenguni inayozuru mataifa ya Afrika mashariki. Sio tu kwamba meli hiyo imeongeza utalii bali pia imewasaidia wanafunzi wa Kenya katika taaluma mbali mbali. Ripota wetu wa Mombasa Halima Gongo anatuelezea zaidi kuhusu ziata ya meli hiyo kwenye pwani ya Afrika Mashariki.