Serikali kuzindua usajili wa vitambulisho vipya vya dijitali kwa wakenya

  • | Citizen TV
    249 views

    Serikali inatazamiwa kuzindua usajili wa vitambulisho vipya vya dijitali kwa wakenya, kwenye zoezi ambalo linanuia kuondoa vitambulisho vinavyotumika sasa. Kitambulisho hiki kipya kitafahamika kama Maisha Card.