Wakaazi wa Nyeri waandamana wakilalamikia ongezeko la uuzaji na ubugiaji wa vileo haramu

  • | Citizen TV
    204 views

    Wakaazi wa eneo la Gatitu kaunti ya Nyeri wamefanya maandamano wakilalamikia ongezeko la uuzaji na ubugiaji wa vileo haramu huku wakitaka maeneo ya kuuziwa pombe eneo Hilo kupunguzwa.