Andrew Musangi, aliyeteuliwa kuwa mwenyekiti wa CBK ahojiwa na bunge

  • | Citizen TV
    200 views

    Kamati ya fedha kwenye bunge la kitaifa imeendelea kumpiga msasa Andrew Mukite Musangi aliyeteuliwa na Rais William Ruto kuwa Mwenyekiti wa benki kuu ya Kenya. Musangi ametetea uwezo wake wa kuhudumu kwa wadhifa huo kutokana na tajriba yake. Musangi aliteuliwa na rais kutoka kwa orodha ya watu sita walioratibishwa na tume ya huduma za umma